Mzee mmoja aliyefahamika kwa majina ya Joseph Rutabana mwenye umri wa miaka 77 mkazi wa kijiji cha Butairuka amepoteza maisha, baada ya kutumbukia ka…
Read moreUrafiki ambao ulianza 1995 umegeuka ndoa ambapo Mnamo Jumanne, Februari 16,2021 picha ziliibuka kwenye mtandao wa Twitter za wanandoa ambao wamefanya…
Read moreMzee huyo wa miaka 58, alipatwa na mhudumu wa usafi akihema sana lojini - Alikimbizwa katika Hospitali ya JM Kariuki ambapo alithibitishwa kufariki …
Read moreMoja ya eneo la mgodi wa Buhemba Wachimbaji wadogo nane wajeruhiwa kwa silaha za jadi ikiwamo mapanga, visu pamoja na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za…
Read moreWatuhumiwa Leah Agunda na Martha Laizer wakiongozana na askari kurudi rumande Walimu wawili waliofahamika kwa majina ya Leah Agunda na Martha Laizer,…
Read moreKamanda wa Polisi Mkoa wa Mara ACP Daniel Shillah amethibitisha kushikiliwa kwa mwanaume mmoja anayetambulika kwa jina la Masunga Ngilama (25) Mkazi …
Read moreKamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwago…
Read moreDetruda Faustine (43), mkazi wa kijiji cha Chibasi Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkeketa mjukuu wake mwenye…
Read moreWatu wawili ambao ni Kubingwa Charles (32) na Astigaz Belibwa (30), wamenusurika kifo kwa kuungua baada ya kulipukiwa na Shoti ya umeme, mkoani Geita…
Read moreKamanda wa polisi mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe Polisi mkoa wa Geita, linawasaka watu zaidi ya 10 waliofanya uharibifu wa mali kwenye nyumba 3 tof…
Read moreMahabusu ambaye alikuwa na kesi ya mauaji, Musa Haji Mchana, alipigwa na radi na kupoteza uhai Oktoba 13 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ukan…
Read moreVIJANA watano waliotuhumiwa kuiba ng’ombe 30 wa mzee Malunde Mwigulu (76), mkazi wa Kijiji cha Imalilo Kata ya Ntobo mkoani Tabora, wamelazimika kuli…
Read moreWatu watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu pamoja na Wifi yake wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka moto majira ya saa nne …
Read moreSAKATA la wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kyela Mkoani Mbeya kujinyonga,limeendelea kuumiza vichwa vya viongozi baada ya wiki iliyopita Grace Gowe…
Read moreMkuu wa TAKUKURU mkoani Geita Leonidas Felix Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Geita imefanikiwa kumrejeshea kiasi cha Sh.…
Read moreNa Shinyanga Press Club Blog Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Elia Shija (30) mkazi wa Kijiji cha Didia Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga anash…
Read moreJESHI la Polisi Mkoa wa Rukwa linamshikilia mkazi wa eneo la Kaloleni lililopo Manispaa ya Sumbawanga, Stella Kangoza (29) kwa kuichoma moto mikono y…
Read moreKushoto ni daladala iliyopata ajali Chang'ombe na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe. Mkuu wa wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe, ame…
Read moreKamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba Na Damian Masyenene – Shinyanga VISA vya kushtua na kuvuta hisia za watu vinaendelea ku…
Read moreMwanafunzi wa shule ya sekondari Kiagata, Mwita Juma (kulia) akishuka kwenye gari la polisi kwa ajili ya kusikiliza shauri linalomkabili la kumkat…
Read more
Social Plugin