Na Marco Maduhu,SHINYANGA
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Gilitu Makula, amechukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini.
Amechukua Fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini,na kukabidhiwa na Katibu wa CCM wilaya hiyo Hamisa Chacha.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464