` DK. REGINA MALIMA ATIMIZA AHADI YAKE KWA SENETI AKABIDHI LAPTOP

WANDAMAN HOTEL

DK. REGINA MALIMA ATIMIZA AHADI YAKE KWA SENETI AKABIDHI LAPTOP

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vyuo na vyuo vikuu Dk. Regina Malima, ametekeleza ahadi yake aliyoitoa katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Shinyanga, kwa kukabidhi laptop kwa ajili ya kuboresha utendaji wao wa kazi.

TAZAMA VIDEO👇👇

Amekabidhi kifaa hicho leo, Septemba 15, 2026, katika Ukumbi Mdogo wa Mikutano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga.
Dk. Malima amesema, ametekeleza ahadi hiyo, huku akiwapongeza vijana hao kwa kuwa sehemu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), licha ya kuendelea na masomo yao.

Naye Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Shinyanga Jackson Mwizarubi, amemshukuru Mbunge huyo kwa kutimiza ahadi yake, akisema kifaa hicho kitawasaidia katika utendaji wao wa kazi ikiwamo kutunza taarifa.

TAZAMA PICHA👇👇
Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vyuo na vyuo vikuu Dk. Regina Malima (katikati) akikabidhi ahadi yake ya Laptop kwa Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Shinyanga Jackson Mwizarubi.
Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vyuo na vyuo vikuu Dk. Regina Malima akizungumza.
Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Shinyanga Jackson Mwizarubi akizungumza.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga Salama Mhampi akizungumza.
Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vyuo na vyuo vikuu Dk. Regina Malima (katikati) akikabidhi ahadi yake ya Laptop kwa Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Shinyanga Jackson Mwizarubi.
Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vyuo na vyuo vikuu Dk. Regina Malima (katikati) akikabidhi ahadi yake ya Laptop kwa Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Shinyanga Jackson Mwizarubi.
Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vyuo na vyuo vikuu Dk. Regina Malima (katikati) akikabidhi ahadi yake ya Laptop kwa Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Shinyanga Jackson Mwizarubi.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464