Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Nyamarasa ameonesha dhamira ya dhati ya kulitumikia Taifa kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Nyahanga, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa ndani ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.