
Wezi alioniibia gari wakutana na mambo mazito!
Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lipotea, nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi, halikupatikana, nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilitokea.

Nlikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyikazi wa kawaida hadi nilipopandishwa daraja hadi nikawa Meneja.
Baada ya kupandishwa daraja na mshahara wangu uliongezeka hivyo nikaamua kununua gari kwa ajili ya kwenda kazi kwa sababu nilikuwa nimechoka kupanda matatu na hata kutembea.