` MWANAMKE AMFUMANIA MUMEWAKE AKIMUITA MFANYAKAZI WA NDANI KIPENZI CHA MOYO WAKE

MWANAMKE AMFUMANIA MUMEWAKE AKIMUITA MFANYAKAZI WA NDANI KIPENZI CHA MOYO WAKE


“Naona Sasa Mimi Ni Kuku Kwako?” Mwanamke Afumania Mume Wake Akimuita Househelp ‘Sweetheart’

Ndoa yangu na Raymond ilikuwa na miaka saba, yenye milima na mabonde kama ndoa nyingine yoyote. Tulikuwa tumefanikiwa kwa kiasi fulani, tukajenga nyumba yetu, tukapata watoto wawili, na maisha yaliendelea. Lakini nilianza kuhisi mabadiliko madogo, ambayo yalianza kama mzaha wa kawaida, hadi yalipogeuka kuwa sumu ya ndoa yetu.

Mume wangu alianza kuwa karibu sana na msichana wa kazi, Stella. Nilijua si vyema kumtuhumu mtu bila ushahidi, lakini niliona ishara. Mara kwa mara wangekuwa wakicheka sana bila mimi kuwepo, au angetoa maagizo kupitia simu hata nikiwa karibu. Niliwahi kumsikia akimuita “madam mdogo” kwa mzaha. Nilikemea, lakini wote walicheka na kunifanya nionekane kama ninawaza vibaya.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464