Na Marco Maduhu,SHINYANGA
Mechi ya Stand United na Geita Gold,ikiendelea katika Uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga, katika Ligi ya Champioship.
Sasa ni kipindi cha pili,Stand United waongoza kwa goli moja ambalo limefungwa kipindi cha kwanza dakika ya 14 na Yusuph Adam.