` STAND UNITED WAMEONGEZA GOLI LA PILI DHIDI YA GEITA GOLD

STAND UNITED WAMEONGEZA GOLI LA PILI DHIDI YA GEITA GOLD

 

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

Mechi ya Stand United na Geita Gold,ikiendelea katika Uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga, katika Ligi ya Champioship.

Sasa ni kipindi cha pili,Stand United waongoza kwa goli mbili ambalo limefungwa kipindi cha kwanza dakika ya 14 na Yusuph Adam na kipindi cha pili goli limefungwa kwa Penat na Omary Rajabu dk 85.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464