Tiba Asilia ya Kujifungua Mtoto wa Kiume—Na Kumfanya Mumeo Azidi Kukupenda
Hakuna kitu kilichokuwa kinaniumiza kama mume wangu kuonyesha dalili za kutojali mara baada ya kujifungua mtoto wa pili wa kike. Nilihisi kama sipendwi tena, hata kama hakuwahi kusema wazi.
Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, alikosa furaha nyumbani, na kila mara alipokuwa akizungumza na marafiki zake, alitaja jinsi anavyotamani kuwa na mtoto wa kiume.