Header Ads Widget

RAIS SAMIA AELEZA SIRI YA UHURU NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


Rais Samia Suluhu Hassan amesema Uhuru wa Tanganyika ulikuwa chachu na mchango muhimu katika kuwezesha mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, 1964.
 
Amesema matukio hayo mawili yaliyotangulia Muungano ndiyo yaliweka msingi imara wa nchi na Taifa imara la sasa, lenye amani, mshikamano na umoja miongoni mwa watu wake.

“Tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kutujaalia uzima wa kuiona siku hii ya kihstoria katika Taifa leo,” amesema Rais Samia.

Rais Samia ameyasema hayo  Desemba 8, 2021 wakati akilihutubia Taifa ikiwa ni saa chache kabla ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 2021.
 
SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI

Post a Comment

0 Comments