Header Ads Widget

TAZAMA PICHA VIKOSI MBALIMBALI VYA JESHI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA


VIKOSI MBALIMBALI VYA JESHI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikipita Kikakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.

 

Post a Comment

0 Comments