Header Ads Widget

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA WAPONGEZWA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA NHIF


Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga(SPC) Greyson Kakuru, akipokea leo cheti cha kutambua mchango wa waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), pamoja na kuutangaza, ambao umefikisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake, hafla ambayo imefanyika Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Shinyanga Press Clab Greyson Kakuru akiwa ameshika cheti cha pongezi kutoka Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF.

Post a Comment

0 Comments