Header Ads Widget

WAHUKUMIWA KUNYONGWA KWA MAUAJI YA KINYAMA YA MTOTO KIGOMA, AMBAPO WALIMZIKA KWA KUMKALISHA KABURINI........

WATU wawili wakazi wa kijiji cha Gwanumpu, Kakonko mkoani Kigoma, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mtoto wa miaka 12 waliyemteka wakidai wapewe Sh. milioni tano na baadaye kuuzika mwili wake ukiwa umekalishwa na kufungwa kichwani, usoni na miguuni.


Waliohukumiwa kwenye kesi hiyo ya mauaji ya kukusudia namba 18/2021 katika Mahakama Kuu kanda ya kigoma ni Tabibu Nyundo na Thobias Mtakiyicha. Walidaiwa kutenda kosa hilo Januari 27, 2019 baada ya kumteka mtoto na kutuma ujumbe mbalimbali wa simu kwa jirani wa wazazi wa mtoto.

SOMA ZAIDI HAPA CHANZO NIPASHE


Post a Comment

0 Comments