Header Ads Widget

SIMBA KUWAKOSA CHAMA, KAGERE, MUGALU NA MORRISON, KAZE ASEMA BAO MOJA LINATOSHA

Chama kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC

Kocha wa Simba Sven Vandenbroeck, amesema kwenye mchezo wa ligi kuu kesho Jumamosi, Novemba 7, 2020 dhidi ya Yanga, atawakosa wachezaji Clatous Chama, Bernard Morrison, Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Vandenbroeck amesema Chama, Kagere na Mugalu ni majeruhi na Morrison amefungiwa kutokana na utovu wa nidhamu.

Kwa upande wa kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze, amesema suala la muhimu kwao ni pointi tatu.

"Kesho sio tu kufunga magoli mengi kama ambavyo wapinzani wetu wanafanya, sisi cha muhimu ni alama tatu hata kama tukifunga goli moja tu''

Post a Comment

0 Comments