Header Ads Widget

TIMU YA YANGA SC YATAMBULISHA JEZI ZAKE ZA MSIMU HUUMuonekano wa jezi mpya za timu ya Yanga kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2020/2021

Na Shinyanga Press Club Blog
BAADA ya ukimya mrefu wa lini jezi mpya za Klabu ya Yanga SC zitawasili na kutambulishwa rasmi, hatimaye leo Septemba 11, 2020 ukimya huo umepata jibu baada ya uongozi wa klabu hiyo kuzianika hadharani jezi hizo.

Yanga SC ambayo ilitarajiwa kutambulisha jezi zake mpya zitakazotumika msimu huu, kwenye tamasha la Wiki ya Mwananchi Agosti 30, mwaka huu lakini ikashindikana kwa sababu ambazo hazikuelezwa bayana.

Tazama hapa chini muonekano wa jezi hizo mpya za Yanga