Header Ads Widget

TAKUKURU YAREJESHA SH MILIONI 23.8 ZA WAKULIMA WA MIWA MVOMERO

Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Morogoro, Janeth Machulya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa zoezi la kurejesha fedha za wakulima wa miwa Mvomero.
 
 


Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Morogoro, Janeth Machulya akikabidhi fedha kwa viongozi wa wakulima wa miwa Mvomero ambazo zimerejeshwa