Header Ads Widget

PICHA: MGOMBEA UBUNGE WA NCCR MAGEUZI JIMBO LA SOLWA ACHUKUA FOMUMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Hoja Mahiba (kushoto) ambaye pia ni Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Solwa akimkabidhi fomu Mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chama cha NCCR Mageuzi, Ibrahim Leonard Kitela jana Agosti 19, 2020.

Bw. Kitela akisaini wakati wa kuchukua fomu leo


Picha kwa hisani ya Dhulkifl Sungura