Header Ads Widget

LAZARO NYARANDU ACHUKUA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI CHADEMA

Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati, Lazaro Nyarandu, amechukua fomu ya NEC kuwania ubunge jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho.