Header Ads Widget

TAZAMA MAJINA YOTE YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM YALIYOPITISHWA NA NEC

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Agosti 20, anatangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Halmashauri kuu ya Taifa ya chama hicho.

ARUSHA
Arusha Mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha

DAR ES SALAAM
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo

DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa mji- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Nataly Malima

GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang’alwe- Hussein Amar

IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Jonathan Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga Mji- Cosato Chumi
MUFINDI KASKAZINI – Exaud Kigahe
MUFINDI KUSINI – David Mwakiposa Kigahe

KAGERA
Bukoba mjini- Steven Byabato
Bukoba vijijini – Dkt Jeson Samson Rwekiza
Mkenge- Florent Laurent
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndayisaba George
Muleba Kaskazini- Charles Mwijage
BIHARAMULO – Ezra John
MULEBA KUSINI – Dkt Osacar Ishengoma

Lindi
KILWA KASKAZINI – Ndulane Francis
KILWA KUSINI – Kasinge Mohamed
LIWALE – Zubery Kuchauka
LINDI MJINI – Hamida Mohamed
MCHINGA – Salma Kikwete
MTAMA – Nape Nnauye
NACHINGWEA – Julius Chinguile
RUANGWA – Kassim Majaliwa.

Mkoa wa Kilimanjaro
VUNJO – Charles Kimei
SIHA – Dkt Godwin Mollel
MOSHI VIJIJINI – Profesa Patrick Aloyce Ndakidemi
HAI – Saasisha Mafue
SAME MASHARIKI – Dkt Anne Kilango Malecela.
SAME MAGHARIBI – Dkt Mathayo David
ROMBO – Profesa Adolph Mkenda
MOSHI MJINI – Priscus Tarimo
MWANGA – Anania Joseph

Mkoa wa Mbeya
BUSEKELO – Atupele Mwakibete
KYELA – Ally Jumbe
LUPA- Masanche Kasaka
MBARALI – Francis Leonald
MBEYA MJINI – Dkt Tulia Ackson
MBEYA VIJIJINI – Oran Manase
RUNGWE – Anthony Albert

Mkoa wa Mara
Musoma Mjini- Vedastus Mathayo
Musoma Vijijini – Sospeter Muhongo
Bunda Mjini – Chacha Maboto
Bunda Vijijini- Mwita Getere Kembaki
Mwibara- Charles Kajege
Butiama – Jumanne Sagini
Tarime Vijijini – Mwita Waitara
RORYA – Wambura Chege

Mkoa wa Kigoma
KASURU MJINI -Joyce Ndalichako
MANYOVU- Dk Philip Mpango
BUYUNGU – Aloyce John
MUHAMBWE -Atashasta Nditiye
KIGOMA MJINI- Kilumbe Shaban
KIGOMA KASKAZINI – Asa Nelson
KIGOMA KUSINI – Nashon William

Mkoa wa Katavi
MLELE – Isack Kamwelwe
KAVUU- Geofrey Mizengo Pinda
MPANDA MJINI- Sebastian Kapufi
NSIMBO -Anna Lupembe
MPANDA VIJIJINI -Moshi Kakoso.

Mkoa wa Manyara
BABATI MJINI – Pauline Gekuli
BABATI VIJIJINI – Daniel Nsiro
HANANG – Samwel Kadai
MBULU MJI – Zacharia Paul
MBULU VIJIJINI – Gregory Maasai
KITETO – Edward Kisau
SIMANJIRO – Christopher Ole-Sendeka

Mkoa wa MOROGORO
MRIMBA – Godwin Kunambi
KILOMBERO – Aboubakar Assenga
MOROGORO MJINI – Abdulaziz Abood
GAIRO – Ahmed Shabib
MALINYI – Antipas Mgungusi
MOROGORO KUSINI – Edward Kalogelesi
MOROGORO MASHARIKI – Hamis Taletale

Tanga
Jimbo la Tanga Mjini – Ummy Mwalimu
Mlalo – Rashid Shangazi
Muheza – Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mkinga – Dustan Kitandula.