Header Ads Widget

SPIKA NDUGAI AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefika Hospitalini Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliyelazwa hapo baada ya kushambuliwa usiku wa kumkia leo na watu wasiojulikana.
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807