KATAMBI AYOUB WAPOKELEWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi mhe.Patrobass Katambi amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani mhe.George Simbachawene ofisi za wizara ya mtumba jijini Dodoma.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria katika hafla hiyo ni pamoja na Naibu waziri Ayoub Mohamed Mahmoud,Katibu mkuu Ally Gugu,naibu katibu mkuu Dkt.Maduhu Kazi,wakuu wa vyombo vya usalama,wakuu wa Idara na watumishi wizara ya mambo ya ndani.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464







