` TCU YAFUTA UDAHILI WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA AFYA MWANZA

TCU YAFUTA UDAHILI WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA AFYA MWANZA

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof Charles Kihampa.

TCU YAFUTA UDAHILI WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA AFYA MWANZA

Edwin Soko, Mwanza

Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) imefuta udahili wa wanafunzi wapya wa Mwaka wa kwanza walio dahiliwa katika chuo kikuu cha afya,Mwanza ( MzU) akizungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza pamoja na wajumbe wa bodi ya chuo hicho.

Katibu Mtendaji.wa tume ya vyuo vikuu Tanzania. Charles Kihampa. amesema.tume imestisha kibali cha udahili na usajili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Udaktari wa Binadamu kwa chuo kikuu cha Mwanza.(MzU)

katika mwaka wa Masomo wa 2025-2026 usitishwa huo unatokana na chuo kushindwa kuzingatia maelekezo.ya tuma.kwa kudahili na kusajili idadi kubwa ya wanafunzi kuliko ile iliyoidhinishwa aidha Kihampa amesema chuo hicho kitaendelea kutoa mafunzo kwa wanafunzi wengine wa naoendelea na masomo.




pia amesema tume imetoa kibali cha kuwa fursa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaodahiliwa kusajiliwa na kuripoti chuoni hapo kuomba kuhamia vyuo vingine vilivyoruhusiwa kudahili wanafunzi.katika programu ya Udaktari wa Binadamu.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464