Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wameapa rasmi kuwa madiwani wa Halmashauri hiyo, mara baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29,2025.
Zoezi hilo la Uapisho Madiwani limefanyika leo Desemba 4,2025 katika Ukumbi wa Manispaa ya Shinyanga na kuendeshwa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Chibe Mheshimiwa Agness Mlimbi.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Alexius Kagunze akizungumza.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Shinyanga Said Kitinga akizungumza.
Diwani wa Ndembezi Pendo Sawa akiapa.
Diwani wa Ngokolo Jackline Isaro akiapa.