` MAISHA YAKE YALIYOONEKANA MAZURI ILA MWILI ULIKUWA KATIKA VITA KUBWA

MAISHA YAKE YALIYOONEKANA MAZURI ILA MWILI ULIKUWA KATIKA VITA KUBWA

Maisha Yake Yalioonekana Mazuri Ila Mwili Ulikuwa Katika Vita Kubwa

Katika Mji wa kijani wa morogoro, Uliovaa milima na mandhari ya kuvutia, Aliishi Mwanamke Mrembo na Mwenye Roho Ya Kupambana Aitwaye Sasha. Maisha yake yalionekana ya Kawaida Kwa Nje -Alikuwa na Kazi Nzuri, Marafiki wa Karibu, na Ndoto Nyinga Za Baadaye. Lakini ndani ya mwali Wake, Kulikuwa na Vita Isiyoonekana na Isiyosikika Kwa Wengi.

Sasha Alianza Kukumbia na Changamoto Ya Kiafya Ambayo Ilimchosha Kimwili na Kiakili: Hedhi Yake Ilichukua Muda Mrefu Sana, Mara Nyingine Hadi Wiki Tatu Bila Kukoma. Maumivu Ya Kiuno Yalikuwa Makali Kiasi Kwamba Alishindwa Hata Kutembea Vizuri au Kufanya KAZI ZA ZA Kila Siku. Kila MWazi, Alihisi Kama Anapigana na Janga Jipya. Alijaribu kutumia dawa za hospitali, Alitembelea Madaktari wa kawaida na wa wa tiba Mbadala, Lakini Hakuna Kilichomsaidia. Kila Alipopewa Matumaini, Yaligeuuka Kuwa Maumivu Mapya.

ALIENDA DODOMA, DAR ES SALAAM, NA HATA ARUSHA KUTAFUTA TIBA. Alijaribu Mchanganyiko wa Dawa, Alifanyiwa Vipimo Vya Kila Anaina, Lakini Majibu Yalikuwa Yale: "Hali Yako Ni Ya Kawaida Kwa Wanawake Wengine." Lakini Sasha Alijua Mwili Wake, na Alijua kuwa Hali Hiyo Haikuwa Ya Kawaida Kwake. Alianza Kukata Tamaa, Akihisi Kama Maisha Yake Ya Uzazi na Ndoa Yanazidi Kuyumba.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464