` MAJINA YOTE WALIOPENYA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM UCHAGUZI MKUU 2025,NA WABUNGE WA VITIMAALUM

MAJINA YOTE WALIOPENYA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM UCHAGUZI MKUU 2025,NA WABUNGE WA VITIMAALUM





TAARIFA KWA UMMA

UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa majimbo na Viti Maalum. Majina ya walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-

MKOA WA ARUSHA

1.
Ndg. Paul Chrisant MAKONDA
Arusha Mjini

2.
Dkt. Johannes Lembulung’ LUKUMAY
Arumeru Magharibi

3.
Ndugu Daniel Awack TLEMAH
Karatu

4.
Dkt. Steven Lemomo KIRUSWA
Longido 

5.
Ndugu Joshua NASSARI
Arumeru Mashariki

6.
Ndugu Isack  COPRIAO
Monduli 

7.
Ndugu Yannick Ikayo NDOINYO
Ngorongoro 





DAR ES SALAAM

1.
Ndugu Haran Nyakisa SANGA
Kigamboni 

2.
Ndugu Angellah Jasmine MBELWA  KAIRUKI
Kibamba 

3.
Prof. Alexander Kitila MKUMBO
Ubungo 

4.
Ndugu Mariam KISANGI
Temeke

5.
Ndugu Abdallah Jafari CHAUREMBO
Chamazi 

6.
Ndugu Kakulu Buchard KAKULU
Mbagala

7.
Ndugu Geofrey Anyosisye TIMOTH
Kawe 

8.
Ndugu Abbas GULAM (Tarimba) 
Kinondoni 

9.
Ndugu Mussa Azzan ZUNGU
Ilala

10.
Ndugu Jerry William SILAA
Ukonga 

11.
Ndugu Bonnah L. KAMOLI
Segerea

12.
Ndugu Dougras Didas MASABURI
Kivule 






MKOA WA DODOMA

   1
Ndugu Kenneth NOLLO
Bahi

2.
Ndugu Deogratius John NDEJEMBI
Chamwino

3.
Ndugu Livingston LUSINDE
Mvumi 

4.
Ndugu Kunti Yusuph MAJALA
Chemba

5.
Ndugu Paschal Inyasa CHINYELE
Dodoma Mjini

6.
Ndugu Antony MAVUNDE
Mtumba 

7.
Ndugu Ashatu Kachwamba KIJAJI
Kondoa Vijijini 

8.
Ndugu Mariam Ditopile MZUZURI
Kondoa Mjini

9.
Ndugu George Natany  MALIMA
Mpwapwa

10.
Ndugu George Boniface SIMBACHAWENE
Kibakwe

11.
Ndugu Isaya Marugumi MOSES
Kongwa 





MKOA WA GEITA

1.
Dkt. Dotto Mashaka BITEKO
Bukombe 

2.
Dkt. Jafar Rajab SEIF
Busanda

3.
Ndugu Cornel Lucas MAGEMBE
Chato Kaskazini

4.
Ndugu Pascal Lucas LUTANDULA
Chato Kusini

5.
Ndugu Chacha Mwita WAMBURA
Geita Mjini

6.
Ndugu Musukuma Joseph KASHEKU
Geita

7.
Ndugu Kija Limbu NTEMI
Katoro 

8.
Ndugu Fagasoni Aron NKINGWA
Mbogwe

9.
Ndugu Hallen Nassor AMAR
Nyang’wale





IRINGA

1.
Ndugu Fadhili Fabian NGAJILO
Iringa Mjini

2.
Ndugu William Vanging’ombe LUKUVI
Ismani 

3.
Ndugu Jackson Gideon KISWAGA
Kalenga 

4.
Dkt. Ritta Enespher KABATI
Kilolo 

5.
Ndugu Dickson Nathan LUTEVELE
Mafinga Mjini

6.
Ndugu David Mwakiposa KIHENZILE
Mufindi Kusini

7.
Ndugu Exaud KIGAHE
Mufindi Kaskazini





KAGERA

1.
Eng. Ezra John CHIWELESA
Biharamulo Magharibi

2.
Ndugu Johansen MUTABINGWA
Bukoba Mjini

3.
Ndugu Jasson Samson RWEIKIZA
Bukoba Vijijini

4.
Ndugu Innocent Lugha BASHUNGWA
Karagwe

5.
Ndugu Khalid Mussa NSEKELLA
Kyerwa 

6.
Ndugu Florent Laurent KYOMBO
Misenyi 

7.
Ndugu Adonis Alfred BITEGEKO
Muleba Kaskazini

8.
Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO
Muleba Kusini

9.
Ndugu Dotto Jasson BAHEMU
Ngara 





KATAVI

1.
Ndugu Laurent Deogratius LUSWETULA
Kavuu 

2.
Ndugu Thomas Kampala MAGANGA
Katavi 

3.
Ndugu Haidar Hemed SUMURY
Mpanda Mjini

4.
Ndugu Anna Richard LUPEMBE 
Nsimbo

5.
Ndugu Moshi Selemani KAKOSO
Tanganyika 





KIGOMA

1.
Ndugu Alan Thomas MVANO
Kakonko

2.
Ndugu Florance George SAMIZI
Muhambwe 

3.
Prof. Joyce NDALICHAKO
Kasulu Mjini

4.
Ndugu Edibily Kazala KIMNYOMA
Kasulu Vijijini 

5.
Prof. Pius YANDA
Buhigwe

6.
Ndugu Peter J. SERUKAMBA
Kigoma Kaskazini

7.
Ndugu Nuru Issa KASHAKARI (KANDAHALI)
Kigoma Kusini

8.
Ndugu Clayton Revocatus CHIPONDA (BABA REVO)
Kigoma Mjini





KILIMANJARO

1.
Ndugu Ibrahim Mohamed SHAYO
Moshi Mjini

2.
Prof. Adolf Faustine MKENDA
Rombo 

3.
Ndugu Anne Kilango MALECELA
Same Mashariki

4.
Dkt. Mathayo David MATHAYO
Same Magharibi

5.
Ndugu Morris Joseph MAKOI
Moshi Vijijini

6.
Ndugu Enock Zadock KOOLA
Vunjo 

7.
Dkt. Godwin Aloyce MOLLEL
Siha 

8.
Ndugu Saashisha Elinikyo MAFUWE
Hai 

9.
Ndugu Ngwaru Jumanne MAGHEMBE
Mwanga 



LINDI

1.
Ndugu Mohamed Mussa UTALY
Lindi Mjini

2.
Ndugu Salma Rashidi KIKWETE
Mchinga 

3.
Ndugu Kinjeketile Ngombale MWIRU
Kilwa Kaskazini

4.
Ndugu Hasnain Gulamabbas DEWJI
Kilwa Kusini

5.
Eng. Mshamu Ali MUNDE
Liwale

6.
Ndugu Nape Mosses NNAUYE
Mtama

7.
Ndugu Kaspar Kaspar MMUYA
Ruangwa 

8.
Ndugu Fadhili Ally LIWAKA
Nachingwea  





MANYARA

1.
Ndugu Emmanuel John KHAMBAY
Babati Mjini

2.
Ndugu Daniel Baran SILLO
Babati Vijijini

3.
Ndugu Zacharia Paulo ISSAAY
Mbulu Mjini

4.
Ndugu Emmanuel Qambaji NUWAS
Mbulu Vijijini

5.
Ndugu Asia Abdulikarim HALAMGA
Hanang’ 

6.
Ndugu James Kinyasi MILLYA
Simanjiro 

7.
Ndugu Edward Ole Lekaita KISAU
Kiteto 





MARA

1.
Ndugu Ester Amos BULAYA 
Bunda Mjini

2.
Ndugu Boniphace Mwita GETERE
Bunda Vijijini

3.
Dkt. Wilson Mahera CHARLES
Butiama

4.
Ndugu Mgore Miraji KIGERA
Musoma Mjini

5.
Prof. Sospeger Mwijarubi MUHONGO
Musoma Vijijini

6.
Ndugu Jafari Wambura CHEGE
Rorya 

7.
Ndugu Mary Daniel JOSEPH
Serengeti

8.
Ndugu Esther Nicholaus MATIKO
Tarime Mjini

9.
Ndugu Mwita Mwikwabe WAITARA
Tarime Vijijini

10.
Ndugu Kangi Alphaxad LUGORA
Mwibara





MBEYA

1.
Ndugu Adkin Patrick MWALUNENGE
Mbeya Mjini

2.
Ndugu Patali Shida PATALI
Mbeya Vijijini

3.
Dkt. Tulia ACKSON
Uyole 

4.
Ndugu Bahati Keneth NDINGO
Mbarali

5.
Ndugu Baraka Ulimboka MWAMENGO
Kyela 

6.
Ndugu Lutengano George MWALWIBA
Busokelo 

7.
Ndugu Anton Albert MWANTONA
Rungwe 

8.
Ndugu Masache Njelu KASAKA
Lupa 


MOROGORO

1.
Abdul Aziz Mohamed ABOOD
Morogoro Mjini

2.
Hamisi Shabani TALE TALE
Morogoro Kusini Mashariki

3.
Zuberi Yahaya MFAUME
Morogoro Kusini

4.
Ahmed Mabkhut SHABIBY
Gairo

5.
Sarah Msafiri ALLY
Mvomero

6.
PROF. Palamagamba John KABUDI
Kilosa

7.
Dennis Lazaro LONDO
Mikumi

8.
Salim   Alaudin   HASHAM
Ulanga

9.
Mecktrids Fratern MDAKU
Malinyi

10.
Abubakar Damian ASENGA
Kilombero

11.
Kellen Rose RWAKATARE
Mlimba





MTWARA

1.
Ndugu Joel Arthur NANAUKA
Mtwara Mjini

2.
Ndugu Arif Selemani PREMJI
Mtwara Vijijini

3.
Ndugu Abdallah Dadi CHIKOTA
Jimbo La Nanyamba

4.
Ndugu Katani Ahmadi KATANI
Tandahimba

5.
Ndugu Rashidi Mohamedi MTIMA
Newala Mjini

6.
Ndugu Yahaya Esmail NAWANDA
Newala Vijijini

7.
Ndugu Issa Ally MCHUNGAHELA
Lulindi

8.
Ndugu Leonard Douglas AKWILAPO
Masasi

9.
Ndugu Faraji Buriani NANDALA
Ndanda

10
Ndugu Yahya Ally MHATA
Nanyumbu





 MWANZA 

1.
Ndugu Kafiti William KAFITI
Morogoro 

2.
Ndugu Bulala Mtesigwa COSMAS
Kwimba 

3.
Ndugu Bujaga Charles MOSES
Sumve 

4.
Ndugu Kiswaga Destery BONIVENTURE
Magu 

5.
Ndugu Silvery Luboja SALVATORY
Misungwi 

6.
Ndugu nzilanyingi Francisco JOHN
Nyamagana

7.
Dkt. Swetbert Zacharia MKAMA
Ukerewe

8.
Ndugu Tabasamu Hamis MWAGAO
Sengerema 

9.
Ndugu Erick James SHIGONGO
Buchosa 


NJOMBE

1.
Ndugu Festo Zacharius SANGA
Makete 

2.
Ndugu Joseph Zacharius KAMONGA
Ludewa

3.
Ndugu Festo John DUGANGE
Wangingómbe 

4.
Ndugu Daniel Godfey CHONGOLO
Makambako 

5.
Ndugu Edwin Enosy SWALLE
Lupembe 

6.
Ndugu Deodatus Philip MWANYIKA
Njombe Mjini





18. PWANI

1.
Ndugu Mohamed Omary MCHENGERWA
Rufiji

2.
Ndugu Silyvestry Francis KOKA
Kibaha Mjini

3.
Ndugu Amina Mussa MKUMBA
Kibiti

4.
Ndugu Subira Khamis MGALU  
Bagamoyo

5.
Ndugu Ridhiwani Jakaya KIKWETE
Chalinze

6.
Ndugu Hamoud Abuu JUMAA
Kibaha Vijijini

7.
Ndugu Abdallah Hamisi ULEGA
Mkuranga

8.
Dkt. Selemani Said JAFO
Kisarawe

9.
Ndugu Omari Juma KIPANGA
Mafia





RUKWA

1.
Ndugu Edifonsi  Joackim  KANONI
Kalambo

2.
Ndugu Salum Hamad KAZUKAMWE
Nkasi Kaskazini

3.
Ndugu Moses Ludovico KAEGELE
Nkasi Kusini

4.
Ndugu Aeshi Khalfan HILALY
Sumbawanga Mjini

5.
Ndugu Deus Clement SANGU
Kwela





20. RUVUMA

1.
Ndugu Jonas William MBUNDA
Mbinga Mjini

2.
Ndugu Judith Salvio KAPINGA
Mbinga Vijijini

3.
Dkt. Juma Zuberi HOMERA
Namtumbo

4.
Ndugu Sikudhani Yassin CHIKAMBO
Tunduru Kaskazini

5.
Ndugu Fadhil Sandali CHILOMBE
Tunduru Kusini

6.
Ndugu John John NCHIMBI
Nyasa

7.
Ndugu Dr. Damas Daniel NDUMBARO
Songea Mjini

8.
Ndugu Omary Marcus MSIGWA
Madaba

9.
Ndugu Jenista Joakim MHAGAMA
Peramiho





21. SHINYANGA

1.
Ndugu Ahmed Ally SALUM     
Solwa

2.
Ndugu Azza Hillal HAMAD 
Itwangi

3.
Ndugu Patrobass Paschal KATAMBI
Shinyanga Mjini

4.
Ndugu Lucy Thomas MAYENGA
Kishapu

5.
Ndugu Benjamin Lukubha NGAYIWA 
Kahama Mjini

6.
Ndugu Mabula Johnson MAGANGILA
Msalala

7.
Ndugu Emmanuel Peter CHEREHANI
Ushetu


22.       SIMIYU

1.
Eng. Kundo Andrea. MATHEW
Bariadi Mjini

2
Ndugu Masanja Kungu KADOGOSA
Bariadi Vijijini

3
Ndugu Simon Songe LUSENGEKILE
Busega

4
Ndugu Njalu Daudi SILANGA
Itilima

5
Ndugu George Venance LUGOMELA
Maswa Mashariki

6
Ndugu Mashimba Mashauri NDAKI
Maswa Magharibi

7
Ndugu Salum K Khamis SALUM
Meatu

8
Ndugu Musa Godfrey MBUGA
Kisesa





23.  SINGIDA

1
Ndugu Yagi Maulid KIARATU
Singida Mjini

2
Ndugu Haiderali Hussein GULAMALI
Ilongero

3
Ndugu Jesca David KISHOA
Iramba Mashariki

4
DR. Mwigulu Lameck NCHEMBA
Iramba Magharibi

5
Ndugu Thomas Mgonto KITIMA
Ikungi Mashariki

6
Ndugu Elibariki Immanuel KINGU
Ikungi Magharibi

7
Dkt. Pius Stephen CHAYA
Manyoni

8
Ndugu Yohana Stephen MSITA
Itigi





24. SONGWE

1
Ndugu Japheti Ngailonga HASUNGA
Vwawa

2
Ndugu Onesmo.M. MNKONDYA
Mbozi

3
Ndugu David Ernest SILINDE
Tunduma

4
Ndugu Condester Michael SICHALWE
Momba

5
Ndugu Philipo Augustino MULUGO
Songwe

6
Ndugu Godfrey M. KASEKENYA
Ileje





25.  TABORA

1
Ndugu Amosy William MAGANGA
Sikonge

2
Ndugu Hawa Subira MWAIFUNGA
Tabora Mjini

3
Ndugu Joseph Enock TAMA
Kaliua

4
Ndugu Japhael Masanja LUFUNGIJA
Ulyankulu

5
Ndugu Hussein Mohammed BASHE
Nzega Mjini

6
Ndugu John Stephano LUHENDE
Bukene

7
Ndugu Neto Paul KAPALATA
Nzega Vijijini

8
Ndugu Henry C. KABEHO
Igunga

9
Ndugu Abuubakary A. OMARY  
Manonga

10
Ndugu Shaffin Ahmedal SUMAR
Uyui

11
Ndugu Juma Ramadhani MUSTAFA (KAWAMBA)
Igalula

12
Ndugu Margaret S. SITTA
Urambo





26.  MKOA WA TANGA

1
Ndugu Kassimu Amari MBARAKA
Tanga

2
Ndugu Rashidi Abdallah SHANGAZI
Mlalo

3
Ndugu Shemdoe Riziki SILAS
Lushoto

4
Ndugu Ramadhani Hamza SINGANO (ENG)
Bumbuli

5
Ndugu Hamis MWINJUMA (Mwana FA)
Muheza

6
Ndugu Twaha Said MWAKIOJA
Mkinga

7
Ndugu Salehe Mbwana MHANDO
Kilindi

8
Ndugu Jumaa Hamidu AWESO
Pangani

9
Ndugu Charles Jacob SUNGURA 
Handeni Vijijini

10
Ndugu Charles Mhando NJAMA
Korogwe Mjini

11
Ndugu Timotheo P. MNZAVA
Korogwe Vijijini

12
Ndugu Kwagilwa Reuben NHAMALILO
Handeni Mjini














WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KWA NAFASI ZA UBUNGE WA VITI MAALUMU MIKOA KWA UPANDE WA
TANZANIA BARA

1. MKOA WA ARUSHA
Ndugu Marirta Gido KIVUNGE
Ndugu Chiku Athuman ISSA

2. MKOA WA DAR ES SALAAM
Ndugu Janeth Elias MAHAWANGA
Ndugu Amina Good SAID

   3.   MKOA WA DODOMA
Ndugu Neema Peter MAJULE
Ndugu Jesca Yuda MBOGO

  4.   MKOA WA GEITA
Ndugu Regina Henry MIKENZE
Ndugu Josephine Tabitha CHAGULA

MKOA WA IRINGA
Ndugu Rose Cyprian TWEVE
Ndugu Nancy Hassan NYALUSI

MKOA WA KAGERA
Ndugu  Devotha Daniel MBURARUGABA
Ndugu Samira Khalfani AMOUR

MKOA WA KATAVI
Ndugu Martha Festo MARIKI
Ndugu Taska Restituta MBOGO

MKOA WA KIGOMA
Ndugu Zainabu Athumani KATIMBA
Ndugu Naomi Duncan MWAIPOPO

MKOA WA KILIMANJARO
Ndugu Esther Edwin MALLEKO
Ndugu Zuena Athumani BUSHIRI

MKOA WA LINDI
Ndugu Kijakazi Yunus MOHAMED
Ndugu Zainabu Rashidi KAWAWA

MKOA WA MANYARA
Ndugu Regina Ndege QWARAY
Ndugu Yustina Arcadius RAHHI
MKOA WA MARA
Ndugu Agness Mathew MARWA
Ndugu Ghati Zephania CHOMETE

MKOA WA MBEYA
Ndugu Suma Ikenda FYANDOMO
Ndugu Maryprisca Winfred MAHUNDI
MKOA WA MOROGORO
Ndugu Lucy Similya KOMBANI
Ndugu Sheila Edward LUKUBA

MKOA WA MTWARA
Ndugu Agness Elias HOKORORO
Ndugu Asha Salum MOTTO

MKOA WA MWANZA
Ndugu Mary Francis MASANJA
Ndugu Kabula Enock SHITOBELA

MKOA WA NJOMBE
Ndugu Pindi Hazara CHANA
Ndugu Rebecca Sanga NSEMWA

MKOA WA PWANI
 Ndugu Hawa Mchafu CHAKOMA
Ndugu Mariam Abdallah IBRAHIM
MKOA WA RUKWA
Ndugu Sylivia Francis SIGULA
Ndugu Jacqueline Chrisant MZINDAKAYA

MKOA WA RUVUMA
Ndugu Jacqueline  Ngonyani MSONGOZI
Ndugu Mariam Madalu NYOKA

MKOA SHINYANGA
Ndugu Santiel Erick KIRUMBA
Ndugu Christina Christopher MNZAVA

MKOA WA SIMIYU
Ndugu Tinnar Andrew CHENGE
Ndugu Ester Lukago MDIMU

MKOA WA SINGIDA
Ndugu Marth Nehemia GWAU
Ndugu Aysharose Ndogholi MATTEMBE

MKOA WA SONGWE
Ndugu Juliana SHONZA
Ndugu Neema C. MWANDABILA

MKOA WA TABORA
Ndugu Aziza Slyeum ALLY
Ndugu Christina Solomon MNDEME

MKOA WA TANGA
Ndugu Husna Juma SEKIBOKO
Mwanaisha Ng’anzi ULE



WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KWA NAFASI ZA UBUNGE WA VITI MAALUMU MAKUNDI KWA UPANDE WA 
TANZANIA BARA

A: KUNDI LA NGO’S 
Ndugu Magreth Baraka EZEKIEL
Ndugu Rahma Riadh KISUO

B:  KUNDI LA WANAWAKE WA VYUO VIKUU
Ndugu Selina Henry KINGALAME
Ndugu Asha Juma FERUZI
Dkt. Regina Christopher MALIMA

C:  KUNDI LA WAFANYAKAZI
Ndugu Halima Iddi NASSOR
Ndugu Mariam Anzuruni MUNGULA

D:  KUNDI LA WANAWAKE WENYE ULEMAVU
Ndugu Ummy Hamisi NDERIANANGA
Ndugu Stela Ikupa ALEX
Ndugu Aisha Msantu MDUYAH

E:  KUNDI LA VIJANA
Ndugu Ng’wasi Damas KAMANI
Ndugu Jesca John MAGUFULI
Ndugu Halima Abdallah BULEMBO
Ndugu Lulu Guyo MWACHA
Ndugu Timida Mpoki FYANDOMO
Ndugu Jasmin Chesco NG’UMBI


F:  KUNDI LA WAZAZI
Dkt. Catherine Canute JOAKIM


Mwisho
Chama kinawatakia maandalizi mema ya kampeni za Uchaguzi Mkuu chini ya usimamizi wa uratibu wa CCM ngazi za Mikoa, Wilaya na Majimbo husika. Aidha, NEC inazitaka kamati za siasa ngazi zote kujipanga kikamilifu ili Chama chetu kipate ushindi wa kishindo.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464