` AHMED ALLY SALUM NA AZZA HILAL HAMAD WATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA INEC JIMBO LA SOLWA NA ITWANGI

AHMED ALLY SALUM NA AZZA HILAL HAMAD WATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA INEC JIMBO LA SOLWA NA ITWANGI


AHMED ALLY SALUM NA AZZA HILAL HAMAD WATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA INEC JIMBO LA SOLWA NA ITWANGI

*****
Leo Tume Huru ya Uchaguzi Shinyanga Vijijini imewateua rasmi Ndugu Ahmed Ally Salum na Ndugu na Azza Hilal Hamad kugombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi Mkuu Mkuu Ujao Oktoba 29,2025

Ahmed Ally Salum ameteuliwa kugombea Jimbo la Solwa, wakati Azza Hilal Hamad atagombea Jimbo la Itwangi wote kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Wagombea hao wameahidi kuendelea kushirikiana na wananchi bega kwa bega katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inaendelezwa, hususan katika sekta za elimu, afya, maji, na miundombinu.

Viongozi na wanachama wa CCM katika maeneo husika wameonyesha furaha na mshikamano mkubwa kwa uteuzi huu, wakiahidi kujitokeza kwa wingi katika kampeni na upigaji kura.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464