` MWANAIDI ALI KHAMISI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE

MWANAIDI ALI KHAMISI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE

 

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Kusini Unguja.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464