
Na Suzy Butondo Shinyanga
MBOBEVU WA UTAWALA NA MAADILI JUMA MWESIGWA MOHAMED ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAHAMA
Juma Mwesigwa Mohammed, Mbobevu wa Utawala na Maadili katika Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, katika kusimamia Maadili ,Maamuzi tabia na Mwelekeo wa Taasisi hizo.
Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Kahama Manispaa – Julai 1, 2025. ""KWA KAURI MBIU AJIRA KWA VIJANA ELIMU NA MAADLI""
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464