
Kwa kawaida mwanamke akiwa mjamzito huhitaji kuonyeshwa upendo kwa hali yoyote ile kwani wakati huo yeye hupitia ugumu wa kumlea kiumbe aliyetumboni, anapaswa kuwa karibu haswa na mume wake kwani mimba huwa baina ya watu wawili kila mara.

Hii ilikuwa tofauti kabisa na mume wangu ambapo nilikuwa mjammzito wa miezi sita na hapo mambo yalichacha katika ndoa yetu ambapo singeweza kushiriki naye tendo la ndoa.