





























Kwa miaka mingi nilikuwa nawasikia watu wakisema kuwa ni muhimu kujua nyota yako ipo wapi hasa upande wa biashara ili kufanikiwa lakini sikuweza kutilia maanani kabisa.

Kwa kifupi katika maisha yangu sikuwahi kuamini katika kitu kinaitwa nyota, niliamini sana katika bidii yangu na mtandao wa marafiki niliokuwa nao.