` NILIMSHIKA MWIZI BILA POLISI

NILIMSHIKA MWIZI BILA POLISI



Nilimshika Mwizi Bila Polisi Alichoropoka Mwenyewe Akarejesha Mali Baada ya Kutumia Dawa Maalum Kumfichua.

Sikuwahi kufikiria kwamba ningeweza kulinda nyumba yangu bila msaada wa polisi. Kwa muda mrefu, wizi mdogo mdogo ulikuwa umenifanya nishindwe hata kulala kwa amani. Ilianza taratibu kwanza kuku mmoja alitoweka, kisha mbuzi, halafu vifaa vya ndani kama sufuria, ndoo na hata jiko la mkaa.

Nilianza kuhisi labda ni watoto wa mtaani, au mtu wa karibu anayeijua nyumba yangu vizuri. Lakini kila nilipojaribu kufuatilia, kila mtu alijifanya hana habari. Nilichukizwa zaidi siku nilipokuta mlango wa stoo yangu umefunguliwa kwa nguvu na magunia mawili ya mahindi yamepotea.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464