` WAKILI CHRISPINE MYEKE SIMON AJITOSA UBUNGE ITWANGI

WAKILI CHRISPINE MYEKE SIMON AJITOSA UBUNGE ITWANGI


WAKILI CHRISPINE MYEKE SIMON AJITOSA UBUNGE ITWANGI

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

Wakili Chrispine Myeke simon,achukua na kurudisha Fomu ya kuomba Ridhaa ya kuteuliwa na Chama Chake cha Mapinduzi (CCM)kugombea Ubunge katika Jimbo la Itwangi.

Amechukua Fomu hiyo leo Julai 2,2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini.


Akizungumza mara baada ya kuchukua Fomu hiyo,amesema yeye kama Kijana mzalendo,ameamua kutumia haki yake ya kikatiba kuchukua Fomu ya Ubunge,na kwamba anasubili taratibu zingine za kichama.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464