` SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 30,2025

SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 30,2025





Magazeti ya leo


Kila Mwanaume Niliyegusa Alifilisika Sikujua Laana ya Kizazi Ilikuwa Inapita Kupitia Mapenzi

Sijui nilianza kuichukia nafsi yangu lini, lakini ilianza taratibu. Mwanaume wa kwanza aliyenipenda kwa dhati alipoteza kazi wiki tatu baada ya tumeanza mahusiano. Nilihisi ni bahati mbaya.

Wa pili, mfanyabiashara aliyekuwa na maduka matatu ya vifaa vya umeme, alianza kupata hasara ya kushangaza miezi miwili tu baada ya kuninunulia simu ya bei ghali. Baada ya miezi minne, alifilisika kabisa.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464