` FRAVIAN MAKWAIYA AJITOSA UDIWANI NGOKOLO

FRAVIAN MAKWAIYA AJITOSA UDIWANI NGOKOLO

FRAVIAN MAKWAIYA AJITOSA UDIWANI NGOKOLO

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Flavian Patrick Makwaiya amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama hicho,ili apeperushe bendera ya nafasi Udiwani Kata ya Ngokolo kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Amechukua fomu hiyo leo Juni 29,2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Kata ya Ngokolo, na kukabidhiwa na Kaimu Katibu Kata ya Ngokolo (CCM) Jafari Juma.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464