` KINGA YA BIASHARA DHIDI YA WEZI NA USHINDI WA KIUCHUMI

KINGA YA BIASHARA DHIDI YA WEZI NA USHINDI WA KIUCHUMI


Kinga ya biashara dhidi ya wezi na ushindi wa kiuchumi

Kazi yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza, nimeifanya hii kazi kwa miaka sita ambayo nimeweza kurudishwa sana nyuma na wezi.

Hilo lilinifanya nifikirie kuhamisha duka langu na kwenda sehemu nyingine tofauti na Buza ila nikahitimisha siwezi kukimbia wezi na zaidi nikihamisha duka langu nitapoteza wateja wangu.




Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464