BUTONDO ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KISHAPU KUTETEA KITI CHAKE
XXXX
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kishapu Boniphace Butondo, amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi CCM ili agombee kwa mara nyingine Ubunge wa Jimbo la Kishapu katika Uchaguzi Mkuu 2025.
Amechukua Fomu hiyo leo Juni 30,2025, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Kishapu,pamoja na kuirejesha.