` AZZA HILLAL HAMADI AJITOSA UBUNGE JIMBO JIPYA LA ITWANGI

AZZA HILLAL HAMADI AJITOSA UBUNGE JIMBO JIPYA LA ITWANGI

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Azza Hillal Hamad,amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama chake cha Mapinduzi CCM Kugombea Ubunge katika Jimbo Jipya la Itwangi.

Amechukua Fomu hiyo leo Juni 30,2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464