
Na Suzy Butondo,Shinyanga
ASERA ALOYCE MAGAKA AJITOSA KUCHUKUA FOMU YA UBUNGE VITI MAALUM CCM MKOA WA SHINYANGA
ASERA ALOYCE MAGAKA akikabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge viti maalum CCM Mkoa leo june 30 na Katibu wa UWT mkoa wa Shinyanga Habiba Musimu,