SINZO KHAMIS MGEJA AJITOSA UBUNGE VITIMAALUM KUNDI LA WAZAZI
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
SINZO Khamis Mgeja amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya Chama chake cha Mapinduzi CCM ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Vitimaalum Kundi la Wazazi.
Amechukua Fomu hiyo leo Juni 30,2025 katika Ofisi ya Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464