` WENGI WAMEPATA KAZI KWA MUDA MFUPI TU BAADA YA KUMALIZA MASOMO

WENGI WAMEPATA KAZI KWA MUDA MFUPI TU BAADA YA KUMALIZA MASOMO


Ni wengi wamepata kazi muda mfupi tu baada ya kumaliza masomo

Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba unashangaa nini hiki kimenitendekea.
Ndivyo ilivyokuwa kwangu wakati natafuta kazi ya ndoto zangu ambayo nimeisomea hadi Chuo Kikuu. Jina langu Zurimami, nimesomea taaluma ya Rasilimalia Watu (HR), ilikuwa ndoto yangu kufanya hivyo.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464