` JOGOO WA JAMAA ATOWEKA BAADA YA KUMCHUKUA MREMBO WA BAA

JOGOO WA JAMAA ATOWEKA BAADA YA KUMCHUKUA MREMBO WA BAA

 

Jogoo wa jamaa atoweka baada ya kumchukua mrembo wa baa

   

Kutana na simulizi ya kijana mmoja, James ambaye anaamini kuwa mwanamke aliyemchukua kwenye baa usiku mmoja na kulala naye kwenye nyumba ya kulala wageni huko Kagera ndiye aliyehusika na masaibu anayopitia kwa sasa.

James yuko tambarare kabisa pale maeneo, kwa ufupi jogoo wake umetoweka, kutokana na hilo, hajaonekana nyumbani ambapo mkewe na watoto wake wawili wanangojea kwa hamu kurudi kwake

SOMA ZAIDI


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464