Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga limepongeza kwa dhati juhudi za Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mwalimu Alexius Kagunze, kwa kuleta mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2024.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Mheshimiwa Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza kwenye mkutano maalumu wa Baraza leo Alhamisi Agosti 29,2024.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Mwalimu Alexius Kagunze akizungumza kwenye mkutano maalumu wa Baraza leo Alhamisi Agosti 29,2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, Mheshimiwa Anord Makombe, akizungumza kwenye mkutano maalumu wa Baraza leo Alhamisi Agosti 29,2024.
Mweka Hazina wa Halmashauri, CPA Mulokozi Kisenyi akisoma taarifa za hesabu za mwisho kwa Mwaka wa fedha unaoishia June 30,2024
0 Comments