Header Ads Widget

BSL COLLEGE KAHAMA YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA SHULE 11 KAHAMA

BSL COLLEGE KAHAMA chini ya mkurugenzi Teacher Black leo tarehe 19/10/2022 wamekabidhi vitendea kazi katika shule 7 za msingi na 4 za sekondari katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga. Wametoa mifuko ya cement kg 250, Ngano kg 75, mipira, rangi, vipaza sauti, Reams na sukari.

ALIPO MAMA BSL TUPO.


0712583756


Post a Comment

0 Comments