Header Ads Widget

WALIONDOLEWA KAZINI VYETI FEKI KULIPWA

Walioondolewa kazini kwa vyeti feki kulipwa michango yao

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa watumishi wote walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti warejeshewe michango yao waliyochangia kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.

Watumishi hao ni wale walioondolewa katika utumishi wa umma katika shughuli maalum la uhakiki wa vyeti lililoendeshwa na Serikali kwa kushirikiana na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) katika kipindi cha kuanzia Oktoba 2016 hadi Aprili mwaka 2017.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI


Post a Comment

0 Comments