Header Ads Widget

WILLIAM RUTO AAPISHWA KUWA RAIS WA TANO WA KENYA

WILLIAM RUTO AAPISHWA KUWA RAIS WA KENYA

William Ruto ameapishwa rasmi kuwa rais wa tano wa Kenya leo Jumanne Septemba 13,2022 katika uwanja wa Moi Kasarani katika sherehe iliyosimamiwa na msajili wa Idara ya mahakama Anne Amadi na kushuhudiwa na jaji mkuu Martha Koome.

“Mimi, William Samoei Ruto, kwa kutambua kikamilifu wito wa juu ninaochukua kama Rais wa Jamhuri ya Kenya, naapa kwamba nitakuwa mwaminifu wa kweli kwa Jamhuri ya Kenya", ameapa rais mpya William Ruto.

Mkewe Mama Rachel Ruto alikuwa amesimama kando yake wakati akila kiapo hicho.

Post a Comment

0 Comments