Header Ads Widget

KIGOGO TUME YA UCHAGUZI KENYA AFARIKI GHAFLA

Kigogo Tume ya Uchaguzi Kenya afariki ghafla

Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla.


Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema uchunguzi wa mwili wa marehemu utafanywa ili kubaini chanzo cha kifo cha ofisa huyo.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.


Post a Comment

0 Comments