Header Ads Widget

RC MJEMA ASHIRIKI KUHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kulia) akizungumza na karani wa sensa ya watu na makazi Stella Lucas wakati akihesabiwa nyumbani kwake mtaa wa Lubaga Farm kata ya Lubaga Mkoa wa Shinyanga.
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807