Header Ads Widget

WATOTO WADAIWA KUIBWA NA KUUZWA, WENGINE WADAIWA KUUZWA KWENYE HUDUMA ZA AFYA

Ikitumia timu ya wachunguzi wa siri, BBC Africa Eye iliingia kwenye safu ya mitandao haramu, ikishuhudia watoto wakiibiwa kutoka kwa mama wasio na makazi na kuuzwa mitaani kwa kima cha dola za Kimarekani 450.

Mtoto wa kiume anaweza kuuzwa kwa dola 3000 za kimarekani. Lakini biashara hii ya kusikitisha haishii hapo.

Pia uumebainika ushahidi wa watoto waliozaliwa wakiuzwa katika kliniki haramu, na watoto waliotelekezwa wakiuzwa na wafanyakazi wa afya katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki jijini Nairobi. Usimamizi wa hospitali haukujibu madai hayo...
 
 SOMA HAPA ZAIDI CHANZO BBCSWAHILI.

Post a Comment

0 Comments