Header Ads Widget

SABABU MADIWANI MANISPAA YA MOSHI KUMNG'OA MEYA MADARAKANI, ALIENDA NA V8 KWENYE KIKAO ARUDI NA BODABODA

Madiwani Moshi wamng'oa Meya madarakani, apanda bodaboda.

BARAZA la Madiwani Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limemng’oa Meya wa Manispaa hiyo Juma Raibu Juma kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye, baada ya kumtuhumu kwa tuhuma mbalimbali ikiwamo ya matumizi mabaya ya madaraka, pamoja na kuhudhuria sherehe ya kijana anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja (Mashoga).

Raibu ameng’olewa leo Jumatatu April 11,2022 katika kikao cha baraza hilo la Madiwani, ambapo walipiga kura za kutokuwa na imani naye na Kati ya kura 28 zilizopigwa kura 18 zilimkataa sawa na asilimia 64.3 na kura 10 zikiwa upande wake sawa na asilimia 35.7.

KWA HABARI ZAID SOMA HAPA GAZETI LA MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments