Header Ads Widget

TAZAMA PICHA MWENYEKITI WA TLP AUGUSTINO LYATONGA MREMA AKIFUNGA PINGU ZA MAISHA, SOMA UJUMBE WA MKEWAKE KWA MREMA

HATIMAE MZEE MREMA AFUNGA NDOA, MKE ASEMA ATAMRUDISHA UJANANI
 
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema leo Alhamisi Machi 24, 2022 amefunga ndoa na Doreen Kimbi katika kanisa Katoliki Parokia ya Uwomboni Kiraracha mkoani Kilimanjaro.


Mke wa mzee Mrema anayejulikana kwa jina la Doreen Kimbi amesema kuwa atamrudisha mzee Mrema ujanani.

"Mpaka kufikia hivi alivyo nimemfanya hivi. Katika kipindi cha uchumba nimemweka kuwa sawa, vitu vyote anavyohitaji anavipata. Kwa sasa amebadilika, nimeamua mwenyewe na sijashurutishwa na mtu na watarajie kuona anapendeza, nataka hadi awe kijana" amesema Doreen.
 
SOMA ZAIDI HAPA; CHANZO LANGOLAHABARI.

Post a Comment

0 Comments